Machawa mpo Kama ma zombie ..Umesharudi...ndani ya saa moja..hongereni Tanesco mama anaupiga mwingi..
CCM hoyeeee
Daima mbele kushindwa mwiko
Tanga na Bagamoyo, chini ya bahariHvi nguzo za hyo gridi ya taifa zinazotoka huku Bara mpk zanzibar zimepitia wapi 🤔
wanafanya makusudi tuTanesco bado transformation kubwa inahitajiwa
Kinyume cha kuangaza ni niniWazee wa kuyaangaza maisha