Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni MAKUMA Hawa watu...kukata na kurudisha umeme ili luku zipotee na vitu viungue watu wapate hasara..naskia watu wameondolewa kwenye tarif walizokuepo za unafuu na kupelekwa kwa lazima kwenye tarif wasizoziweza ..Tanesco ni mbwa tena takataka
Nalo apewe mchina alisimamie!!👿Taaaa neeee siiiii kooooo
🥺🥺🥺ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Nalo apewe mchina alisimamie!!👿