Tanesco tunaomba mtupe taarifa rasmi wakazi wa Kigamboni kuna shida gani mnakata umeme kila siku bila ratiba yoyote ili kufanya na sisi wananchi tujipange kuwa kuna mgao maana mnakata umeme saa 3 asubuhi mpaka jioni halafu mnakata saa 2 usiku mpaka asubuhi. Huu mgao wa aina gani na ni kipande cha kutoka kwa Mwingila mpaka Maweni tu
Tunaomba ufafanuzi wananchi