A
Anonymous
Guest
Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni
Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500.
Nimepiga huduma kwa wateja naambiwa nadaiwa deni la MIEZI 12 sawa na Tsh. 18,000 hivyo ni nunue wa elfu 20. Mita yenyewe haina hata mwaka imefungwa mwezi wa 9 2023.
Pia soma
UFAFANUZI:

- KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
- TRA: Hatuhusiki na ukusanyaji wa Kodi kupitia LUKU
- Nimepiga simu Tanesco kuhusu makato kodi ya Jengo, hata wenyewe hawajui kwanini wamenikata. Huu wizi!
UFAFANUZI:
TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24. Pia Soma: -
www.jamiiforums.com