Ndugu yangu hapa kuna utata mimi mwenyewe nimewekewa, nilienda kuomba kuapgrade kutoka single phase kwenda three phase. Kwa kusema ukweli nilicho experience toka nimewekewa hiyo mita gharama zimeshuka, kabla ya hapo nilkuwa nalipa wastani wa elfu themanini hadi laki moja lakini sasa nalipa elfu hamsini hadi sitini na matumizi ni yale yale sasa sijui ni kwangu tuu. Na mimi kilichonifanya niupgrade nilikuwa naexperience low voltage. Labda wenzangu mnaexperience gani na hizi mita za mlingotini mimi naona imenipa advantage.