Ndugu mtejaIjumaa nilienda ofisi ya TANESCO kuulizia kama naweza kubadilishiwa matumizi ya umeme na kuwekwa kwenye matumizi madogo baada ya kutumia umeme wao kwa miezi mitatu toka nilipounganishwa na line yao.
Nikaambiwa kwamba kwa mjini hicho kitu hakipo, hiyo huduma ipo upande wa vijijini na kama ni mjini basi ni zile kaya masikini.
Je, kwanini hawatangazi wazi ili tujue? na kwanini Waziri Makamba alipinga Bungeni kwamba umeme haujapanda (au hicho kitendo sio kupanda)
Je, ina maana mtu anayetumia umeme majumbani hivyo atakuwa sawa na yule anayetumia umeme kibiashara(eg mwenye mashine ya kusaga?)
Hapa kumbe ni kuhamia tu kijijini ili mjini wabaki peke yao.
Tafadhali tujulishe ulipiga lini namba yako ya simu kwa kufatilia na kuchukua hatuaKero kubwa ambay TANESCO wameitengeneza, ni pale umeme unapokuwa na tatizo ukawapigia kwa namba yao ya dharura ambayo ni 0754 550 000.
Hiyo simu ukipiga inaunganishwa moja kwa moja na huduma kwa wateja huku ikiendelea kutoa matangazo na bill ikikatwa bila mfanyakazi wa TANESCO kupokea simu. Unaweza kutumia hata masaa mawili bila kuongea na kutoa taarifa. Yaani usiombe upate hitilafu ya umeme ndo utaona hawa TANESCO hawafai.
SASA KWA MTEJA MPYA AMBAYE AMETOKA KUFUNGIWA LINE ANABADILISHIWA MATUMIZI BAADA YA MUDA GAN? YAANI KUMTATHINI NA KUMUWEKA KWENYE GROUP ANALOSITAHILI NI BAADA YA MUDA GANI? MAANA MIMI TOKA NIFUNGIWE LINE YENU IMEPITA MIEZI MITATU NA MATUMIZI HAYAJAWAHI ZIDI UNIT 75 KWA MWEZI.Ndugu mteja
Tafadhali pokea ufafanuzi sahihi kutoka TANESCO, tunakujulisha kuwa bei ya umeme hainajabadilika toka mwaka 2016 ilivyoidhinishwa na mdhibiti ( EWURA),
Kuna makundi manne ya watumiaji wa umeme kama ifuatavyo
-D1 (UNIT 0-75) BEI NI TSH 100 KWA UNIT IKIZIDI UNIT 75 INAKUWA TSH 350 (YAANI UMEME WA 9150 KWA MWEZI)
Masharti[emoji116][emoji116]
1.Makazi ya kijijini
2.Matumizi ya nyumbani
3.Wastani wa matumizi usizidi unit 75 kwa mwezi
-T1 UNIT zaidi ya 75 to 7500 Bei ni 292 per unit,Hakuna tozo ya kila mwezi
-T2 Gharama kwa mwezi ni 14,233, gharama ya umeme kwa ni 195 kwa unit
T3- M - gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,769 na bei ni tsh 157 kwa unit
T3-gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,550 na bei ni 152 kwa unit
Bei zote ni bila VAT 18% REA 3% na EWURA 1%
Ni ndani ya mieiz mitatuSASA KWA MTEJA MPYA AMBAYE AMETOKA KUFUNGIWA LINE ANABADILISHIWA MATUMIZI BAADA YA MUDA GAN? YAANI KUMTATHINI NA KUMUWEKA KWENYE GROUP ANALOSITAHILI NI BAADA YA MUDA GANI? MAANA MIMI TOKA NIFUNGIWE LINE YENU IMEPITA MIEZI MITATU NA MATUMIZI HAYAJAWAHI ZIDI UNIT 75 KWA MWEZI.
ndugu mteja, umeombwa rushwa katika kubadilisha taarif. tusaidie taarifa sahihiko kumbe itakuwa mpaka utoe rushwa ndo ubadilishiwe. huko makao makuu na huku ofisi zenu za mikoa mna majibu tofauti kabisa
Nimeambiwa taarifa za wayaring zimefika TANESCO. Inachukua muda gani kufungiwa mita?ndugu mteja, umeombwa rushwa katika kubadilisha taarif. tusaidie taarifa sahihi
Iyo 120/unit ni bei ya mwenda zake.
355/unit ndio bei halisi ya umeme
alikua analiujumu shirikaKama kawaida hater wa Mwendazake mnaleta porojo. Sasa hapo alikua anatuibia ama?
alikua analiujumu shirika
Alikua anapenda sifa kuliko uhalisia.Kiaje mkuu,umeme ulikua haupati?
Alikua anapenda sifa kuliko uhalisia.