moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Mzee wangu Kafungiwa Umeme Wiki 2 Zilizo pita Na Units zimeishaHizi ndio bei halisi za umeme toka mwaka 2016 hivyo tuendelee kupokea taarifa sahihi
Ndugu Mteja!@
Mzee wangu Kafungiwa Umeme Wiki 2 Zilizo pita Na Units zimeisha
ili kununua Lazima Ufike Ofisini
ajabu Anaambiwa Mpaka wawasiliane Na Makao makuu Dar
Wamekwenda Kupiga picha Mita leo ni Siku ya 4 Watu wapo Giza
Huu utaratibu Upoje!!
Tafadhali onesha namba ya mita, namba ya simu na Wilaya kwa hatua zaidi@
Mzee wangu Kafungiwa Umeme Wiki 2 Zilizo pita Na Units zimeisha
ili kununua Lazima Ufike Ofisini
ajabu Anaambiwa Mpaka wawasiliane Na Makao makuu Dar
Wamekwenda Kupiga picha Mita leo ni Siku ya 4 Watu wapo Giza
Huu utaratibu Upoje!!
Meter namba 372 468 155 85 jina HAMISI ATHUMANI YAMUNGU ,Mkoa Mwanza ,wilaya Nyamagana, kata ya Mahina ,mtaa Kagomu street nyumba namba 18Tafadhali onesha namba ya mita, namba ya simu na Wilaya kwa hatua zaidi
Siku hizi ukinunua umeme kwa mtandao mmoja wa simu wanakuongezea units za bure za ofa.Miezi mitatu mfululizo, Vigezo na masharti visingingatiwe
weka taarifa zote tulizomba kwa hatua zaidi372 468 155 85
Hivi nyie Mpoje!Tafadhali
weka taarifa zote tulizomba kwa hatua zaidi