Na hapo tunajivunia amani na utulivu tuko na hali hii.Pigo kwenye nishati ni pigo ndoige. Ndo maana hata Russia anapiga miundombinu ya umeme na gesi ya Ukraine. Hata siye tunachakazwa mbaya. Efd hazitumiki kisa hakuna umeme, hospital watu hawapimwi kisa umeme, viwanda havizalishi kisa umeme, n.k
Imagine [emoji18]Mmeshindwa kutupa umeme wa uhakika tunawaangalia tu.
Sasa mmeshindwa kuja na ratiba rasmi ya huo mgao wenu ili hata mtu apangilie ratiba yake ya siku maana shughuli nyingi bila umeme haziendi?
Sasa mnakata umeme saa 2 usiku weekend, mnataka twende wapi muda huu?
Hivi furaha yenu ni kuona watanzania tunateseka au?
Hii Nchi Ina Misukule binadamu wa kawaida hawawezi kuwa wapumbavu Kwa kuvumilia ujinga kiasi hiki ingekuwa nchi za wenzetu tungeona maandamano, viongozi hawajielewi waandishi wa habari ndio hawajielewi ilitakiwa Kila Kona media mripoti hii changamoto Kwa kuwasiliana na watu Moja Kwa Moja kuona wameathirika vipi na mgao ispokuwa mpo tu kuripoti PhD Shame on youHivi Watanzania tumeshindwa hata kuorganise njia ya kuonyesha kutoridhishwa kwetu na huu mgao? Huu ukimya una maana gani?
Tumeshindwa hata kuorganise simu moja ya wiki ambayo wote tutagoma kutumia umeme kwa masaa 24, uwepo usiwepo tunaiweka nchi gizani kwa masaa 24. Unajua ni impact kiasi gani hata kitu kama hicho kikifanyika hata kama kutakuwa na watakaoamua kutoshiriki? Mabadiliko ya kweli yanaanzaga kama mzaha tu.
Tatizo ni kila penye watz wawili basi mmoja ni shushushu, yaani ukianzisha tu kusema dakika si nyingi umenyakwaHii Nchi Ina Misukule binadamu wa kawaida hawawezi kuwa wapumbavu Kwa kuvumilia ujinga kiasi hiki ingekuwa nchi za wenzetu tungeona maandamano, viongozi hawajielewi waandishi wa habari ndio hawajielewi ilitakiwa Kila Kona media mripoti hii changamoto Kwa kuwasiliana na watu Moja Kwa Moja kuona wameathirika vipi na mgao ispokuwa mpo tu kuripoti PhD Shame on you
Ni Wacha he watakuelewaHivi Watanzania tumeshindwa hata kuorganise njia ya kuonyesha kutoridhishwa kwetu na huu mgao? Huu ukimya una maana gani?
Tumeshindwa hata kuorganise simu moja ya wiki ambayo wote tutagoma kutumia umeme kwa masaa 24, uwepo usiwepo tunaiweka nchi gizani kwa masaa 24. Unajua ni impact kiasi gani hata kitu kama hicho kikifanyika hata kama kutakuwa na watakaoamua kutoshiriki? Mabadiliko ya kweli yanaanzaga kama mzaha tu.
Tuache visingizio vya woga. Kama ni kuogopa kupigwa virungu, kuna njia bunifu za kuonyesha kutoridhishwa kwenu. Mgomo baridi kama niliosema hapo juu ni njia mojawapo ila kuna njia nyingi zisizohusisha kuingia barabarani na ziko very effective.Tatizo ni kila penye watz wawili basi mmoja ni shushushu, yaani ukianzisha tu kusema dakika si nyingi umenyakwa