Tatizo ni nini mnogopa kutoa ratiba ya mgao au inakuaje watanzania hatuelewi mnatuchosha jamani...hii mambo ya asubuhi mpaka jioni kimya kimya inaumiza sana ,sijui nyie mnaishi uswahilini au kwenu hamna haya matatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.