mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 901 Reaction score 1,742 Nov 4, 2012 #1 Tatizo ni nini mnogopa kutoa ratiba ya mgao au inakuaje watanzania hatuelewi mnatuchosha jamani...hii mambo ya asubuhi mpaka jioni kimya kimya inaumiza sana ,sijui nyie mnaishi uswahilini au kwenu hamna haya matatizo.
Tatizo ni nini mnogopa kutoa ratiba ya mgao au inakuaje watanzania hatuelewi mnatuchosha jamani...hii mambo ya asubuhi mpaka jioni kimya kimya inaumiza sana ,sijui nyie mnaishi uswahilini au kwenu hamna haya matatizo.
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,328 Reaction score 23,909 Nov 4, 2012 #2 Jamani kweli tangu jana na leo tena wamekata... hapa ndo umuhimu wa stress free zone unapoonekana!