Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili shirika lina ukiritimba..ligawanyike..ktk mashirika matatu (3 in One)..uzalishaji, usambazaji na uuzaji!
Actually hii ya kuuza umeme wangecontract out kwa watu makini TANESCO wangekusanya over 80% ya mapato! Nina wasi2 kuwa mikoani pesa nyingi haikusanywi watu wanatumia tu umeme kwa kujiunganishia bure tu! Kuna watu Moshi na Arushi Vijijini kwa miaka mingi hawalipi au hulipa tu % ndogo sana ..wao huwakatia tu posho ndogo jamaa wa TANESCO!
Taabu sasa wenyewe wanfanya kila kitu..ndo mawzo mgando hayo!