KERO Tanesco Makete wanarudisha nyuma juhudi za kuwahudumia wananchi

KERO Tanesco Makete wanarudisha nyuma juhudi za kuwahudumia wananchi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Radi ilipiga na kuunguza nguzo hadi kukatika kijiji cha Ilungu karibu na shule mwezi wa 11 lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajaja kuweka nguzo mpya ili wananchi wapate huduma ya umeme
IMG_20250110_130433_1.jpg
 
Back
Top Bottom