Pongezi apewe Mkapa kwa Kubinafsisha Viwanda wakagawana Makada Viwanda alivyovijenga MZALENDO wa KWELI MWL.NYEREREwana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia au itakuwaje ?
nakumbuka tanganyika packers kawe muhindi adamje wakati wa awamu ya 4 aliipewa akafungua na kubeba machines zote za kutengenezea nyama akaenda kujenga kiwanda nchi nyingine leo hii tanganyika packers ni magofu.
come back afrika, …
Nimefanya kazi kampuni moja ya mawasiliano, wapo wabongo, wanajua management vzr, ukiwapa tanesco litakua na faida, kama zilivyo, tigo,Vodacom, halotel, haya ni makmpuni binafsi, ttcl ya umma, IPO ICU! Tanesco ipewe sekta binafsi, kama ilivyo Kampuni ya sigsra, TTC, ukiwa muajiliwa sekta binafsi, ukifanya fuckups, ukaingiza hasara,ajira yako inakuwa mashakani, na utaadhibiwa vikali,serikalini, sheria inabidi ibadilishwe, iwe rahisi kutimua wasio na tija,wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia au itakuwaje ?
nakumbuka tanganyika packers kawe muhindi adamje wakati wa awamu ya 4 aliipewa akafungua na kubeba machines zote za kutengenezea nyama akaenda kujenga kiwanda nchi nyingine leo hii tanganyika packers ni magofu.
come back afrika, …
Nimefanya kazi kampuni moja ya mawasiliano, wapo wabongo, wanajua management vzr, ukiwapa tanesco litakua na faida, kama zilivyo, tigo,Vodacom, halotel, haya ni makmpuni binafsi, ttcl ya umma, IPO ICU! Tanesco ipewe sekta binafsi, kama ilivyo Kampuni ya sigsra, TTC, ukiwa muajiliwa sekta binafsi, ukifanya fuckups, ukaingiza hasara,ajira yako inakuwa mashakani, na utaadhibiwa vikali,serikalini, sheria inabidi ibadilishwe, iwe rahisi kutimua wasio na tija,