KERO TANESCO, Mbagala mnatuunguzia vitu kwa kukata umeme na kurudisha ghafla

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tanesco Tunaangaza maisha yako.
 
Kwa ushauri wangu, muweke vifaa vya kupozea umeme au angalia uwekaji wa mifumo ya umeme kama iko vyema. Juz kati jerani yangu kaunguza tv yake kumbe nyumba ilikuwa haina waya na kile chuma cha kuzuia radi

nje ya mada wapo watu wanaponda wanaoishi uswaz wengne ni kwamba wako karibu na sehemu za kazi. Alafu maisha ya uswaz yana utamu fulan kngne kila mtu lazma awe mjanja hakuna boya
 
Wakome kabisa kurudisha umeme ghafla, wawe wabarudisha taratibu
 
Ndo changamoto ya hayo maeneo yenu shida ni ninyi hamna ufuatiliaji Tanesco mnatakiwa muwe mnawasumbua mixer kuwalalamikia mkiwa kama makondoo imekula kwenu

Sehemu za watu wafuatiliaji ni ngumu sana kuona wakisumbuliwa na Tanesco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…