ndio wapi huku?Ndugu watanganyika wenzangu balaa la giza tororo limeongezeka,jana mitambo ya kuzalisha umeme songas imezimwa mpaka alhamisi! Natamani kuhamia nji ingine hii imeuzwa ooooh
Ndugu watanganyika wenzangu balaa la giza tororo limeongezeka,jana mitambo ya kuzalisha umeme songas imezimwa mpaka alhamisi! Natamani kuhamia nji ingine hii imeuzwa ooooh
WanaJF, nimemsikiliza Msemaji wa TANESCO, Bi. Badra Masoud akihojiwa na mtangazaji wa TBC1 Bwana Marin Hassan Marin kwenye kipindi cha Jambo Tanzania asubuhi hii. Nimeshangaa kumsikia akielezea mipango lukuki mara tutazalisha kilowatt 100, mara kilowatt 200, mara kilowatt 60: Kila mara ni mipango ya kilowatt tu mbona hakuna umeme? Watanzania tunataka umeme siyo mipango ya kilowatt ambayo haitoi tija tangia imeanza kutajwa na Waziri Ngeleja pamoja na TANESCO.
upo nchi gani? Maana mh. January makamba na zitto kabwe wamepiga marufuku mgao wa umeme!
ndio wapi huku?
the same week dowans is sold is the same week songas shuts down its generators....what a coincidence
The same week DOWANS is sold is the same week SONGAS shuts down its generators....what a coincidence
Mkuu mimi sijui kutofautisha kilowatt na megawatt!! Ahsante kwa ilimu yako. Pamoja na hayo mipango yao ni mingi mno ila hakuna umeme ila mara ni tunategemea kuzalisha megawatt 100 mara megawatt 500, n.k, n.k lakini kila mara ni giza giza giza sijui hizo watt ziko wapi na zita materialize lini. Naona TANESCO hawajui walifanyalo. Siku hizi ndg. Ngeleja ameacha kabisa kuongelea hizo megawatt kwa kuwa huenda naye akazomewa kwa kuwaongopea watz kila uchao!!Kimbunga,
Takwimu zake anaongelea Megawatt siyo Kilowatt..
Anywayz, KASUMBA ya ahadi ndiyo inayoendesha kila jambo ndani ya Serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete - Kila jambo ni ahadi, ahadi, ahadi - strange!
The same week DOWANS is sold is the same week SONGAS shuts down its generators....what a coincidence