ismaili sogora New Member Joined May 24, 2024 Posts 4 Reaction score 3 May 27, 2024 #1 Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa. Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa?
Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa. Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 27, 2024 #2 ismaili sogora said: Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa. Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa? Click to expand... mkuu mimi nimelipia tangu mwezi wa tatu hadi leo naambiwa nguzo hakuna yaani hata sielewi, why waniambie nilipie wakati hawana vifaa
ismaili sogora said: Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa. Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa? Click to expand... mkuu mimi nimelipia tangu mwezi wa tatu hadi leo naambiwa nguzo hakuna yaani hata sielewi, why waniambie nilipie wakati hawana vifaa