Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Tanesco ni taasisi useless sana hapa nchini.
Umeme mnakatakata Kila mnapojiskia, mnasingizia mvua.
Mvua Sasa inagonga ya kutosha mnasingizia nguzo.
Kila siku sehemu niliyopo lazima mkate na mbaya zaidi hamna fomula mnakata mnavyojiskia,bila kujua huo umeme hatuutumia tu kuchaji simu Bali ni maisha yetu.
Fikiria kinyozi kama Mimi mnakata umeme saa 12 asubaa Hadi saa nne usiku inamaana nakula vichwa saangapi?
Mtaani Kila mtu anamlauma mama,huku wengine wakisema watahukumu kwenye boksi la kura ila Mimi nipo tofauti kidogo.
Nahisi Kuna Kila dalili Hawa tanesco wanafanya kusudi Ili kumsabotage mama,au wanatumika.
Watanzania tuone mama hafai wakati Kuna mizigo inayopokea mshahara Kwa Kodi zetu inachojua ni kukinga mwisho wa mwezi.
Inaniuma wiki ya nne Sasa hivi sijakamata buku 5 ya pamoja.
Upuuzi mtupu.