Wanawauzia wauza chipsi ili muendelee kupatwa na kansa, mfe mapema kabla ya siku zenu.Wanapeleka wapi hayo mafuta ya transfoma?
Kilimanjaro umerejea jioniInamaana umeme umekatika nchi yote?
Hamna fundi wa Tanesco anaiba mafuta kwa sababu wanajua adha wanayokutana nayo wakiwa site... Hao wanaofanya hivyo sio mafundi wa Tanesco bali ni watu wanaofahamu umeme wanaamua kulihujumu shirika.Kichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo kumbe mafundi wenu wanatumia giza hilo kuiba mafuta kwenye tranforma zenu, imeshatokea mara kadhaa transforma zinakamuliwa mafuta kukiwa giza.
Nawasilisha
Asikudanganye mtu, mwaka jana tu mtaani kwetu tuliwazingira wakakimbia wakaacha ngazi ya TanescoHamna fundi wa Tanesco anaiba mafuta kwa sababu wanajua adha wanayokutana nayo wakiwa site... Hao wanaofanya hivyo sio mafundi wa Tanesco bali ni watu wanaofahamu umeme wanaamua kulihujumu shirika.
Mafundi wa Tanesco hawafanyi huo wizi maana thamani ya Mafuta hayo ni ndogo tu Wala Muajiriwa wa Tanesco hawezi hatarisha Ajira yake kihivyo. Ukiona muiba Mafuta Hana tofauti na Teja muokota makopoKichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo kumbe mafundi wenu wanatumia giza hilo kuiba mafuta kwenye tranforma zenu, imeshatokea mara kadhaa transforma zinakamuliwa mafuta kukiwa giza.
Nawasilisha