TANESCO mpya inastahili pongezi

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Eti kwa kuchagua huduma zetu kwani kuna kampuni nyingine ya mbadala badala ya Tanesco ambayo mtu anaweza kuchagua kwa hiari yake?
Si ndio hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

nime cheka kweli hawa wa shamba nini...!?
 
Joined 2022 mnasumbua
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Eti kwa kuchagua huduma zetu kwani kuna kampuni nyingine ya mbadala badala ya Tanesco ambayo mtu anaweza kuchagua kwa hiari yake?

Nadhani ni kwasababu ulikua na machaguo mengine lakini ukawafuata wao.

Ungeweza kutafuta kampuni yoyote inayotoa huduma ya umeme utokanao na Nishati ya jua, ama ungeweza kuchagua kuzalisha umeme wako mwenyewe kwa kutumia jenereta na njia nyinginezo kama Kinyesi N.K
 
Machaguo hayawezi kuwepo mpaka pale watakaporuhusu wawekezaji na makampuni binafsi kufanya biashara ya umeme wa aina zote wapendazo na sio kuwachagulia na kuwalimit wauze umeme wa nishati mbadala/renewable energy.
 
Nawapongeza TANESCO, wikiiliyopita niliripoti tatizo la umeme ndani ya 45 minutes wamefika, hongereni sana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wewe ni staff wa Tanesco kitengo Cha huduma Kwa mteja ukweli ni kwamba TANESCO ni Taasisi inayofanya vibaya Tanzania na hii ni kutokana na political intervation Kwa kuwa Tanesco hutumika zaidi katika ufisadi yaani mi naitazama TANESCO kama ka kichaka ambako wapigaji hujinufaisha kupitia changamoto za umeme alafu kingine hamna consistent kwenye miradi yenu mfano wakati Muhongo akiwa waziri aliamini gas ingetatua changamoto ya umeme, alipoingia JPM mkabadili vision mkaamini Mradi wa Bwawa la Maji ndio suluhisho huyu makamba yeye haeleweki kasimamia wapi shirika limemshinda mnakalia porojo nawaambia nyinyi outsourced company upande wa (customer services) ukiwemo wewe ulie comment hamna influence yoyote hamna dira na pia kwa taarifa yako ukiona kitu kinasimamiwa na Serikali ndio kinafeli kwa sababu maafisa wengi wa Serikali hamna entrepreneurship accumen mpo mpo tu mnawaza posho, safari mikopo na kuiba Mfano angalia Taasisi kama UDART, TEMESA, TBA, TRC, DAWASA, TTCL ziko ICU zinaenda kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…