Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Nami nimesikia watu wanalalamika hivyo. Ndiyo maana wengina huamua kuiba umeme.
Zaidi ya 80% ya Watz hawafanyi kazi ipasavyo siajabu hata wewe mwenyewe haufiki kazini kabla ya 07:30 asubuhi muda uliopangwa na Serikali na siajabu kila siku unasign chini ya mstari, hili halioni ila unaona ya wenzio tu Tanesco, kifupi sisi Watz hakuna anayefanya ipasavyo wote wazembe kwa namna moja au nyingine aidha tunachelewa kufika sana kazini au tunawahi kutoka (kutoroka) au tunakwenda lunch kwa saa nzima, na yote hayo tunayafanya hatuyaoni kwa maana wanodhurika ni wengine ila mzunguko ukienda ukikufikia ndio unaanza kulalamika kama hayo ya Tanesco!Na kwa ujinga wao leo badala ya kukifanya kitengo cha luku kufanya kazi masaa 24 wao wanafanya nusu siku! Akili ya matope matupu.
ID yako imenipa majibu kibao ya ulichoandika hapo juu.Zaidi ya 80% ya Watz hawafanyi kazi ipasavyo siajabu hata wewe mwenyewe haufiki kazini kabla ya 07:30 asubuhi muda uliopangwa na Serikali na siajabu kila siku unasign chini ya mstari, hili halioni ila unaona ya wenzio tu Tanesco, kifupi sisi Watz hakuna anayefanya ipasavyo wote wazembe kwa namna moja au nyingine aidha tunachelewa kufika sana kazini au tunawahi kutoka (kutoroka) au tunakwenda lunch kwa saa nzima, na yote hayo tunayafanya hatuyaoni kwa maana wanodhurika ni wengine ila mzunguko ukienda ukikufikia ndio unaanza kulalamika kama hayo ya Tanesco!
Hivyo kuwalaumu Tanesco kwamba hawafanyi kazi masaa 24 ni kuwaonea tu Watz karibu wote tuko hivyo, siajabu na wewe ukafit ktk hao niliowaleza hapo juu jibu unalo wewe mwenyewe kwenye nafsi yako!
uongo upi mkuu.???Acheni uongo hamuoni aibu sura mbayaa
Haijalishi lakini ndio hivyo what goes around comes around!ID yako imenipa majibu kibao ya ulichoandika hapo juu.
Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha kuuza umeme kwa sababu waliokuja kununua umeme leo hawakupata vikaratsi 3 kama Tanesco ilivyotangaza -- mashine inatoa karatasi moja tu kama kawaida ya mauzo ya umeme na kwamba namba zake haziingii kwenye mita kabisa na wateja walirudi kulalamika na kudai hela zao, bila majibu.
Baada ya kuambiwa hivyo nikaja moja kwa moja kwenye computer yangu kuandika habari hii. Sijui wengine walionunua umeme leo wamepata masaibu gani.

Nimekwenda kununua umeme kwa "wakala" kama tangazo linavyosema. Nilikuta foleni kubwa kiasi na kupitia hiyo nimejifunza jambo. Baada ya watu kadhaa kununua umeme alitokea bwana mmoja ambaye alipata karatai moja tu badala ya tatu (mbili zikiwa ni key changer). Yule dada aliyekuwa anahudumu akamwambia kuwa nenda kajaribu kuingiza hizo token na kama zikigoma chukua namba ya TANESCO imebandikwa hapo nje uwapigie kwani ndio maelekezo yao yalivyo. Mie sikuridhika na hali hiyo ndipo nikaanza kufanya utafiti kwa nini baadhi wapate karatasi moja tu. Ndipo akajitokeza mzee mmoja na kueleza kuwa maboresha yanalenga kuwakamata wale wote waliounganishia umeme na vishoka. Na kwamba kwa wasiopata vikaratasi vitatu wako matatani! Na ndio maana maelekezo ni wao kuwasiliana na ofisi za TANESCO. Hivyo usitokwe mapovu bure, huenda ni mmoja wao.
Uwongo huo. basi watu wote wamefungiwa luku na vishoka? kama ni hivyo basi wafanyakazi wote wa Taesco ni vishoka pamoja na magari yao n.k.
nani aaminike? Watz waende ofisi gani sasa wapate kufungiwa Luku ya halali?
mimi nimepata hivyo vikaratasi vitatu na nimeingiza namba lakini hakuna umeme unaoingia...nimekwenda kwa hawa jamaa wa luku wameniambia inabidi kwenda tanesco kubadiishiwa sijui vidudu gani! hiyo ni mpaka j'tatu na nikiangalia kilichosalia kwenye luku kunifikisha j'tatu ni 0.64! '***** zao tanesco!Nimekwenda kununua umeme kwa "wakala" kama tangazo linavyosema. Nilikuta foleni kubwa kiasi na kupitia hiyo nimejifunza jambo. Baada ya watu kadhaa kununua umeme alitokea bwana mmoja ambaye alipata karatai moja tu badala ya tatu (mbili zikiwa ni key changer). Yule dada aliyekuwa anahudumu akamwambia kuwa nenda kajaribu kuingiza hizo token na kama zikigoma chukua namba ya TANESCO imebandikwa hapo nje uwapigie kwani ndio maelekezo yao yalivyo. Mie sikuridhika na hali hiyo ndipo nikaanza kufanya utafiti kwa nini baadhi wapate karatasi moja tu. Ndipo akajitokeza mzee mmoja na kueleza kuwa maboresha yanalenga kuwakamata wale wote waliounganishia umeme na vishoka. Na kwamba kwa wasiopata vikaratasi vitatu wako matatani! Na ndio maana maelekezo ni wao kuwasiliana na ofisi za TANESCO. Hivyo usitokwe mapovu bure, huenda ni mmoja wao.