KERO TANESCO Muleba mkoani Kagera hawawaunganishii umeme wateja kwa wakati

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaomba mchunguze ofisi za TANESCO Wilaya ya Muleba -Kagera, hawataki kutufungia Umeme kwa wakati, angalau tujue tatizo ni nini.
 
nguzo ni kisingizio nchi mkuu
utafikiri nchi hii tupo jangwa la sahara
na hela yetu wamechukua
 
Back
Top Bottom