peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,164 Jul 9, 2011 #1 Majuzi nimeingia makao makuu ya tanesko kilimamnjaro nakakuta muziki wa injili unapigwa kwa sauti ya juu sana ofisini. Naomaba kujua sheria za kazi zinasemaje juu ya uhuru wa mfanyakazai anapokuwa ofisini na mipaka yake.
Majuzi nimeingia makao makuu ya tanesko kilimamnjaro nakakuta muziki wa injili unapigwa kwa sauti ya juu sana ofisini. Naomaba kujua sheria za kazi zinasemaje juu ya uhuru wa mfanyakazai anapokuwa ofisini na mipaka yake.
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,064 Jul 9, 2011 #2 Siku hizi kila kitu ruksa! Kila ofisi siku hiz zina screen kuuubwa! Ni maamuzi tu na busara ya wahusika kupunguza sauti kutodisturb wengine
Siku hizi kila kitu ruksa! Kila ofisi siku hiz zina screen kuuubwa! Ni maamuzi tu na busara ya wahusika kupunguza sauti kutodisturb wengine