Vipi unaandika ukiwa hapo katikati ya hayo mafuriko? Kaa utulie ueleweke sio wanaJF wote wanaishi Rufiji
Sema watz tunapenda sana michango aisee.Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchania fidia ya kuhamisha watu wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima
View attachment 2959912
Hali ya rufiji ni mbaya.
nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi wa rufiji.
hela za kuwaamisha zichangiwe na watumiaji wa umeme wote Tanzania.
kila kaya inayotumia umeme ichangishwe elfu moja maarufu kama buku. hela hizo zipelekwe rufiji na kuwalipa watu fidia .
Kwani walioondolewa kupisha ujenzi wa bwawa, si walishalipwa fidia? Hawa wanatoka wapi?ni kweli ila Bwawa la umeme halitumiwi na wanaoishi rufiji peke yao.
mpaka wa Tanzania wa Mbeya, Mwanza, na Bukoba na wao wanafaidika na umeme wa bwawa la rufiji.
hivyo wanapaswa kuwajibika kulilinda bwawa
Kwani walioondolewa kupisha ujenzi wa bwawa, si walishalipwa fidia? Hawa wanatoka wapi?
Kwani mpo wangapi mnaoathitika na hayo maji niangalie uwezekano?Bwawa lilipojengwa ni sehemu ambayo haikuhamisha watu.
watu wanapatikana kwenye maeneo mbali na bwawa lilipo. ila ndio njia ya maji yanayotoka kwenye bwawa kwenda baharini