TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00

Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
 
Ni Tanesco? Inaenda kwingine...
 
Hapo wamekata tozo ya nyumba ya mwezi wa saba na wa nane ambayo jumla ni sh. 2000. Kama una nyumba mbili means wamekata sh.4000. Vinginevyo mita yako ya zamani, ilikuwa na deni ambalo umekuwa ukilipia kupitia luku
 
Back
Top Bottom