Ni Tanesco? Inaenda kwingine...Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Ukistaajabu ya Tanesco utayaona ya NMBIla wametupiga pigo takatifu hapo.
Mimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Kama una account jiandae kisaikolojiaNao wamefanya Maajabu gani huko.
Naona CCM mwaka huu wataungana kuipinga CCM kama sikosei
Ni swala la muda tu! Kutoa hela from 1,200 mpaka 5,900Huko NMB sipo labda niwasikilizie hawa CRDB