Tanesco na ukistajabu ya musa...

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Habar toka ndani ya shirika hili inasema, katizo la umeme ni amri toka juu yao kwasababu zifatazo...
1. Kuruhusu wakubwa kuuza mafuta kwa wingi
2. Kuruhusu wahindi/wakubwa kuuza magenaretor na solar system

Sasa nimechanganyikiwa kweli ni ndani ya nchi yangu yanatokea hayaaaaaa.....

Tufanye nini sisi wanyonge kama sasa tu wamerudisha umeme tangu saa 5 asubuhii..??????

Je tusubiri mpaka T2015CDM..???

SOURCE: Mjumbe wa board..
 
Huu ni udaku.

kwanza ningekua mod hii thread ningeifuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…