mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Familia imetoa habari kamili kuhusu utekaji niliyogusia jana
Kijana Prosper Theonas Mjaly ametekwa Ijumaa tarehe 2 Agosti na kuna watu walifika na Land Cruiser Hardtop ya milango mitatu
Walidai wametoka Tanesco na kwamba mita inaonyesha kuna deni kubwa na kwamba aende polisi kumaliza hili suala. Tokea hapo simu zilizimwa