TANESCO NAO WAANZA KUTEKA WATU

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742



Familia imetoa habari kamili kuhusu utekaji niliyogusia jana
Kijana Prosper Theonas Mjaly ametekwa Ijumaa tarehe 2 Agosti na kuna watu walifika na Land Cruiser Hardtop ya milango mitatu
Walidai wametoka Tanesco na kwamba mita inaonyesha kuna deni kubwa na kwamba aende polisi kumaliza hili suala. Tokea hapo simu zilizimwa
 
Nao wanakikosi jeshi siku hizi?
 
wana uhakika hao waliokuja walikuwa ni maafisa wa tanesco?
 
Hii taarifa Yako inatia mashaka
 
Watekaji ni wale wale(polisi-CCM e tal) ila mbinu tofauti tofauti
 
Huenda kuna jambo jingine na sio TANESCO
 
Wananchi kwa sasa tujilinde wenyewe hatujui adui ni nani ulinzi shirikishi urudi kwa kasi hakuna kuchukiliwa mtu iwe kazini ama nyumbani bila kushikishwa kwa mwenyekiti wa mtaa na kamanda wa ulinzi shirikishi kujua na kujilizisha wao kwamba unaenda kwenye mikono salama bila hao piga ndulu ya watekaji yaan nao tuanze kuwaua
 
Reactions: K11


Kwa hiyo kwa akili yako hapo unawahusisha tanesco sababu ya hayo maelezo ? Kweli akili huna, hiyo ilikuwa tu trick ya kuwapata!
 
Kwa hiyo kwa akili yako hapo unawahusisha tanesco sababu ya hayo maelezo ? Kweli akili huna, hiyo ilikuwa tu trick ya kuwapata!
Sina akilo lakini unajibu thread yangu tena kwa ufasaha hapo nani hana akili zaidi?
 
Jeshi la Polisi na Usalama lifanye kazi yake isije kuwa kikundi cha watu kinalichafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…