ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
πππππππππππNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Wala sio lazima wajue wewe unayejua hayo na unajua kwamba ni issue ya mwenye nyumba kulipa basi akikupangia kodi ya mwaka wewe punguza hio 18k lakini usishangae kodi ikaongezeka kwa hio hio 18k anyway ndio hivyo law of the Fishes..., Matsya NyayaSasa huyo mpangaji ananunua umeme kwa kutumia namba ya mita, sasa tanesco watajuaje kwamba anayenunua siyo mwenye nyumba?
Tatizo lazima utumie hiyo mita kununua umeme. Ukitaka usilipe usinunue umeme kwa kutumia mita isiyo yako.Kodi ya nyumba ya Luku inamuhusu vipi mpangaji
Kwa hiyo Daraja hili linajengwa Arabuni? ππKodi inafanya kazi ya kusafri tu nchi za nje kwa wajomba zake arabuni. Huyu hafai, bure kabisa
Constipation hiyoooJamaan tumbo linaniuma skuu ya nne sijapata choo hata kutoa upepo nkra kitu kdogo linajaa
Hapo ndio shida inaanza.Shida ya bongo kila mtu kiburi,
Wenye nyumba wanaona uvivu kwenda TANESCO, utasikia tu kama unaona 1500/- kubwa achia chumba/frame
Ni upigaji wa serikali huu. Yaani unaibiwa kwa lazima, na hawasemi kitu...watz tulivyo mipole tunaandamana moyoni tu!Hivi suluhisho la hili deni kukatwa kwa mwenye nyumba pasi kumkata mpangaji ilishindikana kabisa?