Tanesco pamoja na bei juu bado mnakata umeme 48 hrs ?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Wakuu mimi sijakataa huu mgandamizo wa haja kutoka Tanesco,lakini bado wanatukatia umeme 48 hrs hii sio fair kabisa.
 
hao jamaa wanatulazimisha kutumia njia mbadala haswa solar power!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…