Buzi Nene
Senior Member
- Feb 10, 2020
- 148
- 340
Habari,
Kumekuwa na tatizo la kukatika katika kwa huduma ya umeme katika Wilaya ya Rufiji hasa Makao makuu ya Wilaya hiyo maarufu kama Utete.
Hili kwakweli limekuwa tatizo la kudumu kwa maana haipiti siku bila umeme kukatika,mfano umeme walikata usiku mzima wa kuamkia jana wakarudisha asubuhi, haikuchukua muda mrefu wakakata tena umeme ukarudi jioni,usiku wa kuamkia leo tena umekatika na mpaka muda huu tunazungumza saa 12.55 Umeme hamna.
Hii imekuwa kero sana kwani wafanya biashara tunapata hasara kila siku, shughuli za kiofisi zinasimama kila siku,ukienda hospitali unaambiwa umeme hamna kwahiyo huwezi kufanya baadhi ya vipimo.
Yani ni shida sana na tatizo hili limekuwa la muda mrefu sasa zaidi ya miezi kadhaa, hivyo basi tunaomba wizara husika iliangalie kwa jicho la tatu.
Asante.
Espresso.
Mwalimu.