TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Kafulila anafanya kazi kubwa sana
 
Umakini uwe wa kiwango Cha Juu
 
Hahaha Siku wakianza kutoa hizo kazi kwa hao wawekezaji utakuta kampuni za stationary nazo zimeshinda tenda ya kusambaza umeme, na zimelipwa bilions of Tsh. Halafu tutaunda tume, itachunguza mize nane, itatoa report baada ya mwaka, na itamkabidhi rais, halafu tumemaliza.

Tanesco wanatusumbua lakini wanweza jukumu lao wakisimamiwa vizuri, miundo mbinu wanayo na utaratibu upo. Sasa mkianza kuwaza kutafuta wengine, watakuja na vijiplan vyao, watatusumbua na tutarudi kwa Tanesco tukiwa tumeshapigwa mabilioni, tukikataa tunashitakiwa huko Canada, America au Ulaya tunalipa mara 100 ya tulicho kataa kulipa, why not, because we can, who cares.

Tuache kubuni mbinu za kufilisi nchi yetu.
 
Upigaji tu
Sasa huo ubia utamsaidiaje mwanaccm myonge kupungua bei ya umeme majumbani
Pia viwandani ili bidhaa zetu ziwe bei ya chini?


Huyu kafulilia amepewa kitengo Cha udalalibl naona ameishawasahau waha waha wenziebkule kigoma

Huon ubia ni kuhalalisha wizi mwingine kama Iptl, escrow, Richmond , dowans na song as hakuna unafuu kwa mtz
 
Mungu atusimamie katika Ujenzi wa Taifa letu
 
Bei ya umeme hawliwezi kushuka maana wawekezaji wanataka faida na huwezi kumpangia bei tujifunze kwa songas....Magu aliwahi kusema suala la umeme ni uchumi wa nchi tusipopata umeme wa bei nafuu wawekezaji tutawasikia tu na hata watanzania wataendelea kuona umeme ni Anasa
 
Shida yenu ni kwamba, hata mkiambiwa Kafulila, Kitila na Nehemia; hawana uwezo wa kudadavua hayo mambo wanayoshabika amuwezi elewa.

Wewe leo ukipita bandari ya Dar (unaona) pilika zozote za ujenzi wa kwa mujibu wa mkataba huu.



Huo ndio ☝️ulikuwa msingi wa ahadi ya kuwapa DP bandari, mpaka sasa hakuna chochote walichofanya.

Ndio wameboresha makusanyo, baada ya kupewa sector ambazo zililemaa baada ya mama kuchukua nchi,

Sector ambazo zilikuwa zinafanya vizuri na zingefanya vizuri zaidi kama Magufuli angekuwa hai; maana kina cha bahari kaongeza yeye na mitambo ya kisasa yakushusha mizigo iliyopo kanunua yeye.

Mpaka sasa DP World hawaja fanya lolote kwa mujibu wa IGA na kuna mataahira kama Kitila Mkumbo wanawapamba.

Ni mpuuzi tu anaweza taka kuona Samia anapewa mitano tena.
 
Chini ya Kafulila?
 
Lugha bado ni shida bongo
 
Hii nc
Uhuni mtupu.

Yaani miundombinu ijengwe kwa jasho na damu la mikopo halafu waje wezi kudandia treni na kujizolea faida.

Acheni uhuni basi kwa mali za nchi.
Hii nchi unaweza kutukana matusi yote bwawa la Nyerere then watu wanakuja kuvuna
 
Ndgu zangu ai kwamba ndo mambo ya Richmond,Dowans nā akina Tegeta Escro ndo wanakuja kinyumenyume tena?.
Nina mashaka makubwa sana,mda hauwezi ongopa
Wamerudi si amna serikali amnayo inaweza kukemea ufisadi
 

TotalEnergies inasitisha biashara na Adani, inasema haikufahamu uchunguzi wa Marekani​

5:26 hrs | 25 Nov 2024


FILE - Nembo ya kampuni ya mafuta na gesi ya Ufaransa ya TotalEnergies inaonekana kwenye tanki la mafuta katika ghala la mafuta la TotalEnergies huko Mardyck karibu na Dunkirk Ufaransa, Januari 16, 2023. [Picha ya faili: Reuters/Benoit Tessier]


Kampuni kuu ya mafuta ya Ufaransa ya TotalEnergies SE haikufahamishwa kuhusu uchunguzi wa Marekani kuhusu uwezekano wa rushwa na ufisadi katika kampuni ya Adani Green Energy Limited, ilisema Jumatatu, na kuongeza kuwa itasimamisha michango ya kifedha kwa uwekezaji wake wa Kundi la Adani kufuatia kushtakiwa kwa wiki iliyopita.


Total ina hisa 20% katika Adani Green Energy na ina kiti katika bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya India.
"Hadi wakati ambapo mashtaka dhidi ya watu binafsi wa kikundi cha Adani na matokeo yao yamefafanuliwa, TotalEnergies haitatoa mchango wowote mpya wa kifedha kama sehemu ya uwekezaji wake katika kundi la makampuni ya Adani," kampuni hiyo ilisema katika taarifa.


"TotalEnergies haikufahamishwa kuwepo kwa uchunguzi kuhusu madai ya mpango wa ufisadi," kampuni hiyo iliongeza.

Waendesha mashtaka wa Marekani mnamo Alhamisi waliwashtaki watu wanane - akiwemo tajiri wa India Gautam Adani, mpwa wake Sagar Adani na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Adani Green Energy - kwa kuahidi na kisha kufanya malipo yasiyofaa kwa maafisa wa India kati ya Julai 2021 na 2024 kwa faida za biashara.

Kampuni ya Ufaransa ilinunua hisa zake katika Adani Green Energy mnamo Januari 2021 - baada ya kampuni ya India kushinda kile kilichokuwa oda kubwa zaidi ya jua duniani wakati huo, na miezi michache kabla ya malipo kwa maafisa kudaiwa kuanza.

Total pia inamiliki asilimia 37.4 ya hisa katika Adani Total Gas Limited, pamoja na asilimia 50 ya hisa katika ubia tatu zinazoweza kurejeshwa na Adani Green Energy.

Mbili kati ya hizo za ubia ziliingia baada ya FBI kutoa vibali vya upekuzi kwa Sagar Adani na kunasa ushahidi unaohusiana na Adani Green Energy.
TotalEnergies imeelezea India kama soko kuu la kukuza biashara zake za gesi asilia na nishati mbadala.

Kuongezeka kwa joto na kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi kumesababisha uzalishaji wa umeme nchini India kukua kwa wastani wa takriban 8% kila mwaka kufuatia janga la mwaka wa 2020/21, na hivyo kupita ukuaji wa mahitaji ya nishati katika kila uchumi mkuu wa ulimwengu.


Kampuni ya Ufaransa imerudia kubainisha uhusiano wake na Kundi la Adani kama "muungano wa kimkakati" - 25% ya kwingineko ya utendakazi ya Total inayoweza kurejeshwa inatokana na hisa zake katika mali ya Adani ya upepo na jua.


Wachambuzi katika Utafiti wa Bernstein wanakadiria ufichuzi wa kifedha wa TotalEnergies kwa makampuni ya Adani kati ya dola bilioni 4-5, au karibu 3% ya mtaji ulioajiriwa.

Hisa za TotalEnergies zilikuwa chini 0.42% saa 1145 GMT siku ya Jumatatu.
Chanzo: Reuters
 

TotalEnergies pauses business with Adani, says it was not aware of US investigation​

5:26 CAT | 25 Nov 2024
0 Comments Print Share

FILE - The logo of French oil and gas company TotalEnergies is seen on an oil tank at TotalEnergies fuel depot in Mardyck near Dunkirk France, January 16, 2023. [File photo: Reuters/Benoit Tessier]


French oil major TotalEnergies SE was not informed of a U.S. investigation into possible bribery and corruption at Adani Green Energy Limited, it said on Monday, adding it will stop financial contributions to its Adani Group investments following last week’s indictment.


Total holds a 20% stake in Adani Green Energy and has a seat on the Indian company’s board of directors.

“Until such time when the accusations against the Adani group individuals and their consequences have been clarified, TotalEnergies will not make any new financial contribution as part of its investments in the Adani group of companies,” the company said in a statement.


“TotalEnergies was not made aware of the existence of an investigation into the alleged corruption scheme,” the company added.


U.S. prosecutors on Thursday charged eight people – including Indian tycoon Gautam Adani, his nephew Sagar Adani and the former CEO of Adani Green Energy – with promising and then making improper payments to Indian officials between July 2021 and 2024 for business advantages.


The French firm purchased its stake in Adani Green Energy in January 2021 – after the Indian company won what was then the world’s largest solar order, and just months before the payments to officials were alleged to have begun.


Total also owns a 37.4% stake in Adani Total Gas Limited, as well as a 50% stake in three renewable joint ventures with Adani Green Energy.


Two of those joint ventures were entered into after the FBI served search warrants on Sagar Adani and seized evidence related to Adani Green Energy.


TotalEnergies has described India as a key market for developing both its natural gas and renewable energy businesses. Searing heatwaves and an uptick in economic activity have resulted in India’s electricity generation growing at an average of about 8% annually following the pandemic year of 2020/21, outpacing power demand growth in every major global economy.


The French firm has repeatedly characterised its relationship with the Adani Group as a “strategic alliance” — 25% of Total’s operational renewables portfolio comes from its stakes in Adani wind and solar assets.


Analysts at Bernstein Research estimate TotalEnergies’ financial exposure to Adani firms at between $4-5 billion, or around 3% of capital employed.


TotalEnergies shares were down 0.42% at 1145 GMT on Monday.
Source: Reuters
 
Daah jamaa wamemkalia kooni sana
 
Hii ni nzuri, Ila ingekuwa nzuri Sana, kama ingefsnywa na kampuni za wabongo wenye we, tilioni 3.5 ni pesa ndogo Sana, zipo pale UTTamis, tena wachangiaji hawafiki milioni
 
Viva Tanzània
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…