TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Tunarudi huko huko tulikotoka kwenye ile kampuni ya Afrika Kusini, Richmond, IPP, Dowans, Songas etc

Kwa nini huwa hatujifunzi? Tutaendelea kupigwa hadi lini na huu ubinafishaji ambao sasa umebatizwa jina la PPP? Benjamin Mkapa katika kitabu chake alijutia sana kwa ubinafishaji alioifanyia nchi yetu.
 
Tumwamini Kafulila
 
Huu mradi umeishia wapi?
 
Mungu ibariki Tanzania
 
Kwani Biteko anasemaje?
 
Huyu Adani aanagaliwe tena
 
3rd part at work.
 
Hongera Biteko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ