Tanesco seeks Sh408bn loan from local banks - AIBU!!!

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316

Matatizo niyaonayo:
1. Inakuwaje huyu Public Relations Manager hajui kuwa Tanesco inataka kuchukua mikopo ifikayo Tsh408 Billion?

2. Kwa nini priority ya hii habari imeelekea kupewa Foregin Media? i.e: kwa Managing Director kwenda kuongea nao kwanza na kuwachunia The Citizen

3. Kwa shirika linalopata profit of Tsh15 billion a year (on a good year), linategemea kulipa hiyo Tsh408 billion baada ya miaka mingapi?

4. Kwa nini makampuni yote yanayoidai Tanesco ni ya nje? Hii ni sawa na foreign ownership. Kwa mtu yeyote aliyesoma biashara anajua kuwa a creditor is more powerful than shareholder. Na sheria inamlinda yeye kwanza. If the major creditors are foreigners, to me, it equates to foreign control.

6. Ni wazi bei iliyopandishwa juzi ni kwa ajili ya kulipa madeni foreigners. Kwa hesabu ya haraka haraka, sisi tutaendelea kusota na shida zetu zile zile kwa miaka 50 ijayo.

5. Long term solution ya Tanesco ni ipi ndugu zangu? kuzingatia kulirudisha hili kuwa shirika letu wenyewe na la kwetu kufaidi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…