KERO Tanesco Shinyanga kuna nini umeme kukatika katika kila baada ya nusu saa?

KERO Tanesco Shinyanga kuna nini umeme kukatika katika kila baada ya nusu saa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme.
Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme.

Vyakula vilivyohifadhiwa kwenye majokofu vinaharibika,vifaa vya umeme pia vinaharibika.Hakuna tamko kutoka Tanesco juu ya hali hii.Inasikitisha sana maana huenda mafundi wameshindwa kutatua tatizo lililopo.

Soma Pia: Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo

Sisi wateja wenu tunahitaji kujua hii hali itakuwa hadi lini ili tujipange.

Inakera sana kuona wahusika hawajali na hali hii ipo muda mrefu
 
Back
Top Bottom