Una fiki rwwwHaya ni matokeo ya uongo wa JPM.
Wanajipanga na Christmas hela ya kutanuliašWiki ijayo jumatatu terehe 29/11, Tanesco watakua na kampeni ya TUNAJIPANGA.
Lengo ikiwa ni kutambua changamoto ambazo wananchi wanazipata kwenye umeme.
Hili naliona ni suala la ajabu, Sasa hivi Kuna shida kubwa sana ya umeme Tanesco yapaswa wajikite kutatua changamoto hizi za umeme kuliko kuja na hizi kampeni.
Fanyeni juu chini tupate umeme, hayo makampuni hayasaidii kitu.
Sijui ni kina nani wanakuja na mawazo ya aina hii, inastaajabisha na kusikitisha.
View attachment 2020566
Mnyonge mnyongeni. Haki yake mpeni. Enzi za JPM usingeweza kuona mazingaombwe yote yaliyoanza kuonekana awamu hii. Haya masijui Tunajipanga,mara makamba kuruka na chopa. Enzi za JPM tulishaanza kusahau habari za umeme kukatika,maji kukatika. Siku hizi umeme unakatwa saa 1 asubuhi mpaka saa 5 usiku ndio unarudishwa. Enzi zake usingeona hicho kituHaya ni matokeo ya uongo wa JPM.
Huu ndiyo ukweli tupuWapuuzi kilq idara sasa hivi inaandaa vitamasha kutafuta pesa za chrimass wakati umeme haupo
Tulidanganywa tuna ziada ya MW 350 hivi, leo tunaambiwa ukame umesababisha upungufu wa MW 200 hivi, sasa kwa mahesabu rahisi tusingekuwa na upungufu kwani tulikuwa na ziada. Leo hii inashangaza kuona tunaanza tena kuwasha majenereta ya DOWANS, SYMBION na wengine huku gesi yetu ikiwa haitumiki! Tuliambiwa tunauza umeme nje, kweli?!Mnyonge mnyongeni. Haki yake mpeni. Enzi za JPM usingeweza kuona mazingaombwe yote yaliyoanza kuonekana awamu hii. Haya masijui Tunajipanga,mara makamba kuruka na chopa. Enzi za JPM tulishaanza kusahau habari za umeme kukatika,maji kukatika. Siku hizi umeme unakatwa saa 1 asubuhi mpaka saa 5 usiku ndio unarudishwa. Enzi zake usingeona hicho kitu
Tatizo linaanzia kwa wananchi. Watz ni mazuzu sana ni waoga hatari. Huu umekuwa mradi wa watu wachache kujipigia pesa. Watu wengi wanajua,ila wanaogopa. Tutarudije kwenye mamiradi ya kifisadi ya Dowans?.Tulidanganywa tuna ziada ya MW 350 hivi, leo tunaambiwa ukame umesababisha upungufu wa MW 200 hivi, sasa kwa mahesabu rahisi tusingekuwa na upungufu kwani tulikuwa na ziada. Leo hii inashangaza kuona tunaanza tena kuwasha majenereta ya DOWANS, SYMBION na wengine huku gesi yetu ikiwa haitumiki! Tuliambiwa tunauza umeme nje, kweli?!