TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

Hiyi fidia ni hisia tu ,kama hujui ,kujamaza nako ni jibu

An enforceable contract is a valid, legally binding agreement between parties that can be upheld in a court of law. It needs to fulfill several conditions, such as a clear offer and acceptance, mutual consent, consideration, and intention.
 
An enforceable contract is a valid, legally binding agreement between parties that can be upheld in a court of law. It needs to fulfill several conditions, such as a clear offer and acceptance, mutual consent, consideration, and intention.
Naipongeza serikali kwa hatua hii muhimu waliyoichukua,

Kwa maslahi ya Taifa.
🙏🙏🙏🙏🙏
 
Uzalishaji ni mkubwa kuliko mahitaji huku mitaani upatikanaji wa umeme hauna tofauti na miaka kumi na tano iliyopita na bei ni zaidi ya ilivyokuwa!
Tangazo hili ni lenu na serikali yenu kwani sisi wananchi hatufarijiki kwa lolote bado tunakosa umeme bila sababu za maana.
 
Wameenda Mahakamani tena?.
 
Pesa za ujanja ujanja zimeanzwa kutafutwa Sasa. Mbeleni huko unashangaa mtu anaibukia kwenye social media akiwa na ukwasi wa ajabu.
 

"Mahitaji ya umeme nchini sio anasa" - Mhe. Dkt. Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.


View: https://m.youtube.com/shorts/3Rm5xeN5jdw
 
Mkuu hapo ishu siyo ubobevu! ,Wanasheria wetu siyo waadilifu.
 
Mkuu hapo ishu siyo ubobevu! ,Wanasheria wetu siyo waadilifu.

Tanzania bado sana katika eneo la mikataba na makampuni ya kimataifa.

Taifa liwekeze katika elimu iliyo sahihi kupambana ktk dunia hii ya utandawazi, na pia lugha ya kimataifa ya kiingereza tangu darasa la kwanza.

Ndipo tutafanikiwa kuwa na wanasheria wabobezi katika mikataba ya kimataifa, tukiendekeza kiswahili chetu pekee lazima tutaendelea kuwa wanyonge kimataifa.
 
Why not, hatuna umeme wa kutosha bado, sehemu kubwa ya nchi hakuna umeme wa kutosha, sehemu kubwa Tanzania huwezi kufungua kiwanda cha maana sababu hakuna umeme wa kutosha, labda kama unaongelea umeme wa kuwashia vibatali
Hapo unaongea mambo mawili tofauti umeme upo wa kutosha ila Kuna sehemu hawajafikiwa
 
Hapo unaongea mambo mawili tofauti umeme upo wa kutosha ila Kuna sehemu hawajafikiwa, umeme hakuna wa kutosha, hata kama umeme umefika
Hakuna umeme wa kutosha Tanzania, jaribu kufungua kiwanda au mgodi wa maana ndio utajua, utaishia kutumia generator hata kama gridi ya Taifa inapitia mtaa wa pili
 
Fofauti yake ni kubwa sana pengine wewe umezaliwa 2010 unaongea kitu ambacho hujawahi kukiona
 
Asante shujaa wetu kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa la Nyerere. Bila wewe kuanzisha huo mradi tungeendelea kupigwa mpaka tukomae. Sasa tunao ujasiri wa kusitisha mikataba isiyo na maslahi mapana kwa taifa. Rip JPM!
Kuna watu walikuwa wanasema anafanya maendeleo ya vitu na si watu sasa wanafurahi kwendd Dom kwa masaa 3 na mikataba kama hii kujitoa. Mbaya zaidi mpa darasa la 7 pia walikuwa wakipiga kelele wakijuona wanajua pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…