TANESCO TANESCO TANESCO KUNANI?

TANESCO TANESCO TANESCO KUNANI?

billgate

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2021
Posts
380
Reaction score
500
nawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio.......

naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali?

kuna mgao??????

MBONA SERIKALAI IKO KIMYA NA KUTUACHA WANANCHI MIDOMO WAZI.

ANEJUA KINACHOENDELEA ATUJUZE HAPA.
 
Mkuu, unachopaswa kutambua ni kwamba hii ni TANESCO ya January.
Na January huyu ndie aliekua chini ya ofisi ya mama kipindi alipokua kwenye wizara ya mazingira ilokua chini ya mama.
Na nihuyu ndie aliyesuka mipango ya upigaji flani kipindi John akiwa ziarani nchi moja ya pembezoni mwa Songea, then Jonh alipo tonywa anageuka chap na bila simile akamtumbua January.
Baada ya John kuwa hayati, mama akamrudisha January chap, na akampa wizara yenye miradi mikubwa na mambo mengi tatanishi (ili kijana akaendeleze michongo kama kawaida).
Anyway........ Kwaleo ngoja niishie hapa
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Mkuu kwani lini walisema Mgao umeisha?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Asante nitawatafuta kwa namba hii.
 
Mkuu, unachopaswa kutambua ni kwamba hii ni TANESCO ya January.
Na January huyu ndie aliekua chini ya ofisi ya mama kipindi alipokua kwenye wizara ya mazingira ilokua chini ya mama.
Na nihuyu ndie aliyesuka mipango ya upigaji flani kipindi John akiwa ziarani nchi moja ya pembezoni mwa Songea, then Jonh alipo tonywa anageuka chap na bila simile akamtumbua January.
Baada ya John kuwa hayati, mama akamrudisha January chap, na akampa wizara yenye miradi mikubwa na mambo mengi tatanishi (ili kijana akaendeleze michongo kama kawaida).
Anyway........ Kwaleo ngoja niishie hapa
Mkuu tunapigwa
 
Back
Top Bottom