Akemee kama mwendazake alivyokuwa anakemea na umeme ukawa unamtiiJanuary alisema baada ya siku mbili atatoa suluhisho la kudumu,hapana Shaka hili ndo suluhisho lenyewe.
Ndugu mpendwa Mteja wetunawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio.......
naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali?
kuna mgao??????
MBONA SERIKALAI IKO KIMYA NA KUTUACHA WANANCHI MIDOMO WAZI.
ANEJUA KINACHOENDELEA ATUJUZE HAPA.
Mkuu kwani lini walisema Mgao umeisha?nawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio.......
naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali?
kuna mgao??????
MBONA SERIKALAI IKO KIMYA NA KUTUACHA WANANCHI MIDOMO WAZI.
ANEJUA KINACHOENDELEA ATUJUZE HAPA.
Asante nitawatafuta kwa namba hii.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Mkuu tunapigwaMkuu, unachopaswa kutambua ni kwamba hii ni TANESCO ya January.
Na January huyu ndie aliekua chini ya ofisi ya mama kipindi alipokua kwenye wizara ya mazingira ilokua chini ya mama.
Na nihuyu ndie aliyesuka mipango ya upigaji flani kipindi John akiwa ziarani nchi moja ya pembezoni mwa Songea, then Jonh alipo tonywa anageuka chap na bila simile akamtumbua January.
Baada ya John kuwa hayati, mama akamrudisha January chap, na akampa wizara yenye miradi mikubwa na mambo mengi tatanishi (ili kijana akaendeleze michongo kama kawaida).
Anyway........ Kwaleo ngoja niishie hapa
Mkuu nimecheka kwa sautiHata huku niliko hamna umeme ni upumbavu tu umejaa TanZania
Unadhani akikutajia eneo utakua umemjibu swal lake? Umeme unakatika sana tu humu mjin, ni vzr tukapewa updatesUko eneo gani bwashee?