TANESCO Tanga mjini kwa nini mnakata umeme majira ya mpira michuano EURO 2024?

TANESCO Tanga mjini kwa nini mnakata umeme majira ya mpira michuano EURO 2024?

Kimong'onyole

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
15
Reaction score
34
TANESCO Tanga mjini mmeanza hujuma kukata umeme kipindi cha michuano ya mpira EURO 2024 ili watu waende kwenye kumbi za mipira wasiangalizie majumbani kwao, waathirika wakubwa ni Makorora, Msambweni, Mikanjuni na maeneo mengine.

Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO Tanga siyo waaminifu huenda wanahongwa ili wakate umeme majira ya mpira kuanza uero 2024, wameanza jana na leo pia wamekata, muda ule wa michuano kukaribia kuanza.

Walishasemwa kuhusu tabia hii kipindi cha nyuma kwenye ligi mechi za Simba, Yanga, Azam wakaacha, naona saivi wanarudia tena hujuma kwenye EURO 2024. TAKUKURU mko wapi? Chunguzeni.
 
Back
Top Bottom