Tanesco Tanga mjini mnakata umeme wakati wa mpira tu kwanini? Makorora, Msambweni, Mikanjuni, Duga

Tanesco Tanga mjini mnakata umeme wakati wa mpira tu kwanini? Makorora, Msambweni, Mikanjuni, Duga

Kimong'onyole

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
15
Reaction score
34
Leo mechi ya Yanga mmeamua kutukatia umeme tena muda uleule wa mpira kuanza, mmehongwa na wenye kumbi za kuonyesha mipira na starehe mighahawa mikubwa? ili watu waende huko.

Uzi wa tatu huu kuandika kuhusu tuhuma zenu. Waathirika Makorora, Msambweni, Mikanjuni, Duga, Magomeni.
 
Back
Top Bottom