Tanesco Tegeta lazima kuna jipu. Mnakata umeme zaidi ya saa 20 mara kwa mara

Tanesco Tegeta lazima kuna jipu. Mnakata umeme zaidi ya saa 20 mara kwa mara

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Jamani mpaka inaboa, umeme wanakata masaa 20 ukipiga nguzo imeanguka, haya mara kuna tatizo linashughulikiwa . Haiwezekani maeneo hayohayo yakapata matatizo ndani ya wiki moja. Vitu vyetu vinaharibika.

Lazma kuna uzembe. Tunaomba meneja wa kituo cha TANESCO Tegeta ajitafakari.

Miundombinu ya umeme maeneo ya Boko, Ununio sio mibovu hivyo kusingizia kwa ndiyo sababu.

Meneja fanya kazi yako, kama sio wewe, supervisors wako wanakuangusha, tena wa shift za usiku. Kwa nini matatizo yanatokea usiku tu?
 
Back
Top Bottom