Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Mnakata na kurudisha umeme ovyo oyvo namna hii, si mzime kabisa tujue moja?
Mvua yenyewe iko wapi kwa kutufanyia michezo hii? Yaani manyunyu haya ndio matukatia umeme namna hii? Ingekuwa mvua kubwa iliyoambatana na radi si ndio tungepata na shoti nyumba zikawaka moto? Mnapata na kisingizio kabisa cha kuendeleza migao uchwara.
Mlikuwa mnasingizia ukame ndio maana mnakata umeme, haya sasa maji hayo yanafurika bado upuuzi ni ule ule! Mnayaangaza maisha au mnayafubaza?
TANESCO mjitafakari.