Tanesco Temeke: Umeme upo wa kutosha, shida miundombinu iliyopo haiwezi kutawanya umeme kwa wakati mmoja

This is insulting our intelligence...; Kama umeme tuseme upo mapipa manne... lakini wahitaji ni watu Ishirini na Tanesco ina mapipa mawili tu hivyo kufikishia watu wawili kwahio yakiongezeka mapipa ishirini si ina maana kwamba kutakuwa na uwezo wa kumpatia kila mmoja 1/5 ya pipa lake !!!! AU itaweza kuwapa wale wale wanne na wengine kubaki na mapipa matupu !!!!

Again this is insulting our intelligence...... Na Je JPM aliondoka na baadhi ya Mapipa ?!!!
 
Mabingwa wa sound hawa [emoji1]

Ova
 
Uongozi wa nchi hii ni ule wananchi mahali fulani wanasema wana shida ya usafiri toka kijijini kwenda mjini kufuata huduma muhimu. Halafu serikali inawanunulia basi, then ndio inakumbuka hakuna barabara ya kutoka pale kijijini kwenda mjini!
So bad
 
Kuwaamini tanesco ni sawa na kuwaza kuwa kesho jua halitawaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…