H humility21 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 448 Reaction score 622 May 29, 2021 #2 TANESCO sijui kuna shida gani!
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 May 29, 2021 #3 tusiwalaumu sana, huenda wana rekebisha miundombinu iwe safi na bora zaidi. tuwe wavumilimu tupunguze hamaki.
tusiwalaumu sana, huenda wana rekebisha miundombinu iwe safi na bora zaidi. tuwe wavumilimu tupunguze hamaki.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 29, 2021 #4 Hapa tegeta kwa ndevu giza tupu!
M Mnasihi JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 7,762 Reaction score 7,100 May 29, 2021 #5 johnthebaptist said: Hapa tegeta kwa ndevu giza tupu! Click to expand... Upo kwa wagogo unakula mishikaki ya mifugo iliyokufa kibudu? Au unasarandia mademu wa kigogo wa Bei poa na kunywa kimoni ya Bei poa? Chunga Sana mitaa hiyo watakuchana na mabisu yao kwani mgeni hathaminiwi hapo!
johnthebaptist said: Hapa tegeta kwa ndevu giza tupu! Click to expand... Upo kwa wagogo unakula mishikaki ya mifugo iliyokufa kibudu? Au unasarandia mademu wa kigogo wa Bei poa na kunywa kimoni ya Bei poa? Chunga Sana mitaa hiyo watakuchana na mabisu yao kwani mgeni hathaminiwi hapo!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 30, 2021 #6 Poleni sana... Tunataka kuuza majenereta...