Malpighian
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 139
- 219
Habari za majukumu Wana JF
Majanga mengi ya moto majumbani na hata katika maeneo mbalimbali ya shughuli za kibiashara( masoko) yamekuwa yakisababishwa na usukaji/ uunganishwaji mbovu wa nyaya za umeme. Hivyo kupelekea kuhatarisha maisha ya watu na jamii inayoizungua.
Picha hii ni moja ya nguzo zilizopo maeneo ya soko jipya mwanjelwa-Mbeya. Je TANESCO hii ni Sawa au tunasubiri mpaka majanga yatokee ndio tuunde tume kwaajili ya uchunguzi wa ajali zinazoweza kuzuilika?

Nawaza kwa kuweweseka bila majibu!!.🤔