KERO TANESCO (W) Bariadi mkoani Simiyu umeme unakatika mara kwa mara

KERO TANESCO (W) Bariadi mkoani Simiyu umeme unakatika mara kwa mara

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
TANESCO Wilaya Bariadi Simiyu wanatukosea sana, umeme unakatika katika mara kwa mara. Kwa saa unakatika si chini ya mara 5. Tunahofia vifaa vyetu vya umeme na nyumba zetu watatuunguzia. Waseme shida ni nn hasa mitaa ya Bhudeka-Sima
 
Back
Top Bottom