Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Habari waungwana!
Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo.
Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana hawakutokea nikawapigia asubuhi wakasema watakuja hawakutokea kabisa.
Kuna wakati hawapokei simu kabisa, au unapiga saa 1 wanakuja saa 5. Hii inakwaza na inakwamisha mambo mengi sana,
Je, tunaweza ripoti wapi tusipopata huduma kwa wakati sahihi?.