MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Huyu kukujibu lazima akuombe vyote au kimojawapo ya vifuatavyo
Wanafanya kazi bila kujiaminiHuyu kukujibu lazima akuombe vyote au kimojawapo ya vifuatavyo
1. Uende PM
2. Umpe meter number
3. Utaje jina lako
Yaani utafikiri bila kumpa hayo makitu hatakumbuka majibu vizuri..
Halafu ukishampa anapitia post zako za nyuma, wakikuta una chembe chembe za ugaidi🐒Huyu kukujibu lazima akuombe vyote au kimojawapo ya vifuatavyo
1. Uende PM
2. Umpe meter number
3. Utaje jina lako
Yaani utafikiri bila kumpa hayo makitu hatakumbuka majibu vizuri..
HahahahahahaHalafu ukishampa anapitia post zako za nyuma, wakikuta una chembe chembe za ugaidi🐒
Kwa hiyo nguzo hua zinadumu milele?Hapo kwenye kuliwa na mchwa mzee umezidisha chumvi ingawa ni kweli Kuna urasimu sana
Mimi mwenyewe Niko chidachi nimesha lipia sh 27000 lakini bado cjafungiwa umeme
Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
Wacha waje wajitetee
Hiyo 27,000/- iende yote TRA kama kodi, kwa 18% ya hela ipi? Wakati wanaitamka hiyo 27,000/- walijua kuna hayo makitu ya kodi na hela ya kubaki TANESCOmkuu jiongeze, iyo 27k yote inaenda tra kama kodi, tanesco hawana chao hapo
alaf ufungiwe umeme bure?
utakaa sanaaaaaa
Maagizo hayanaga barua...Huko mliko hakuna viongozi wa wilaya na mkoa mkapeleke malalamiko? hayo mambo ya sijui nguzo nk yalipigwa marufuku toka mwaka jana.Pili kama Tanesco hawana barua rasmi ya 27,000 hawawezi kukiuka sheria ni mpaka wapate
Mnyumbuliko upo kwenye invoice ya kulipia umeme18% ya hela ipi?
Iweke hapa tuone na tutoe maoni yetumnyumbuliko upo kwenye invoice ya kulipia umeme