Hiyo ni Dodoma aliko Waziri, hali ni mbaya zaidi huku mikoa mingineKama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.
Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.
Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Ndugu mpendwa Mteja wetuKama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.
Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.
Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Tatizo ni nini haswa na namba yako ya simu tafadhaliKITUO CHA MIITO YA SIMU: 0222194400/ 0768985100
EMAIL: customer.service@tanesco.co.tz
Nani amewahi kupiga simu kwa namba hizi akajibiwa
Niliyasema haya kwenye comment yangu #6Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
akiwapa mita number, namba ya sim msi mu Intimidate kwa namna yoyote …………………. otherwise hongereni sana kwa quick respond zenu through JF mtandao wenye mbavu nene!!Tatizo ni nini haswa na namba yako ya simu tafadhali
Acha uongo wewe, kwani Bei ya zamani yakuunganishiwa umeme ilikuwa inaingia mifukoni mwao hao watumishi wa Tanesco? Hadi Sasa eti baada ya Bei kushuka ndio waonyeshe kutofurahishwa, kwani mishahara yao na marupulupu yamepungua baada ya Bei kushuka?; Hiyo pesa inaingia serikalini,wao haiwanufaishi chochote Wala kuwanyima chochote jinga wewe,Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.
Bei elekezi ya 27,000 imegeuka mwanya mpya wa kuomba rushwa kwenye ofisi za Tanesco. Hata nguzo walizosambaza mitaani wameziacha chini zinaliwa na mchwa mara baada ya kupewa bei hiyo elekezi.
Nashauri waziri wa nishati utembelee kule Dodoma mathalani maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze, Miganga n.k. Kule utakuta nyumba nyingi zimekamilika lakini hazijaunganishwa na umeme wa Tanesco. Wenye kuweza wameamua kuweka Solar ili maisha yaendelee.
Haziliwi na mchwa zile acheni majungu,Kwa hiyo nguzo hua zinadumu milele?
Zinaliwa tutkulwtea picha uone kitu gani kinafanywa na mchwaHaziliwi na mchwa zile acheni majungu,
Acha uongo binti,hata kibanda huna,mambo ya nguzo au mbao utayajulia wapi!!Zinaliwa tutkulwtea picha uone kitu gani kinafanywa na mchwa
Tetea biashara yako tu, ukweli uko palepale,Acha uongo binti,hata kibanda huna,mambo ya nguzo au mbao utayajulia wapi!!
Hamna asurence hapo..!!!! Utatoa hizo details halafu waanze kukusaka..!!! Si unakumbuka kesi ya MAXENCE ilikuwa inahusu nini? Sasa wameshindwa kumlazimisha MAXENCE kutoa details walizokuwa wanazitaka, inawezekana mwanapitia njia hii sasa..!!! HIVI HAYO MA-DETAILS ANAYOYATAKA NDO YANA MAJIBU?akiwapa mita number, namba ya sim msi mu Intimidate kwa namna yoyote …………………. otherwise hongereni sana kwa quick respond through JF mtandao wenye mbavu nene
KWA HIYO NGUZO ZINAISHI MILELE?Acha uongo binti,hata kibanda huna,mambo ya nguzo au mbao utayajulia wapi!!
Mie nililipia January 28 February 10 mwaka huu huu nikafungiwa Bei ikiwa 321900 fulani.Naungana na mtoa mada nilienda ofisi moja ya Tanesco kuulizia mbona nimelipia tokea November na sijafungiwa na jirani kalipia April na kashafungiwa na wote tulikua na uhitaji wa nguzo nilichojibiwa ni kwamba huyo jirani kalipia full amount ni bora tuwekwe wazi ni kiasi gani kinatakiwa kulipwa
Hiyo hela ilikua na risiti? Yaani minimum ukalipa hela yote hiyoMie nililipia January 28 February 10 mwaka huu huu nikafungiwa Bei ikiwa 321900 fulani.
Ila niliwakomalia Ile mbaya Mana mie sikuhitaji hata nguzo ni 15M to nguzo.
Yaani nilikuwa nawauliza shida ni Nini ama inagharimu Nini kutoa ivyo vitu store.
Wakaniambia ni gari kweli hazitoshi.
Nikakodi tax asubuhi mapema nikafungiwa Mana nilikuwa naenda library kufanya Mambo yangu kisa umeme. Na njiani natumia karibia lisaa.
Yaani nilikuwa natesekaje.tulivyofungwa transformer nikawa navimba nao mwanzo mwisho
Ndio ilikuwa na receipt na imeingia kwa akaunti ya Tanesco.Hiyo hela ilikua na risiti? Yaani minimum ukalipa hela yote hiyo
Kama ni rasmi huwa inafuata hasa kama yana kinzana na sheria mama lazima statement itoke kwa Karibu mkuu kinyume chake yanaishia kuwa maoni/matamko ya kisiasa sio ya kiutendaji.Maagizo hayanaga barua...
Hapa changa la macho hizi 27 wanazosema TANESCO inabidi waseme kila mtu alipie gharama kulingana na uwezo wake ili speed ya kazi iongezekeNdio ilikuwa na receipt na imeingia kwa akaunti ya Tanesco.
Fuatilia ujue 27 imeanza lini mie nimekulia January mkuu
Hivi wewe nchi hii una muamini mwana siasa kabisa?!!leo ni karibia mwaka wa nne, waziri anasema ni marufuku mteja kulipishwa nguzo, na akilipia ni siku saba tu, awe amewekewa umeme, je hilo linafanyika?kuhusu 27, 000 labda hukuelewa ni kwa wale tu ambao hawahitaji nguzo, wako ndani ya mita 30, toka line ya umeme inapopita, juzi kuna jirani yangu alikwenda tanesco kufuatilia , yeye anatakiwa nguzo moja, hivyo amepigiwa mahesabu ni kama 312, 000 hivi!!Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo laki moja kwa kila nguzo haiingii serikalini.